Kutatua kwa Ripoti ya Network Connection (Muunganisho wa Mtandao)

Kwa muunganisho wa Wi-Fi

Muunganisho wa Ethaneti

Jinsi ya kutatua hali yako ya mtandao au matatizo ya muunganisho

  1. Angalia Ripoti ya Network Connection (Muunganisho wa Mtandao) ambayo ulichapisha. Kagua vipengee kwenye A (Check Network Connection (Kagua Muunganisho wa Mtandao)) ambao hali inaonyesha FAIL (IMESHINDWA).
  2. Katika orodha ya Vipengele vya Kukagua, bofya vipengele ambavyo vinaonyesha hali ya FAIL (IMESHINDWA) ili uonyeshe suluhisho.
  3. Kagua ujumbe ulioonyeshwa katika B na utafute ujumbe mmoja uliorodheshwa chini ya kila Kipengele cha Kukagua. Kisha fuata suluhisho.

Vipengele vya Kukagua

Bofya vipengele hapa chini ili uende kwenye ujumbe na suluhisho.
  1. Ethernet Cable Connection Check (Ukaguzi wa Muunganisho wa Kebo ya Ethaneti)
  2. IP Address Check (Ukaguzi wa Anwani ya IP)
  3. Detailed IP Setup Check (Ukaguzi wa Kindani wa Usanidi wa IP)

Ujumbe na suluhisho za vipengele vya kukagua

1. Ethernet Cable Connection Check (Ukaguzi wa Muunganisho wa Kebo ya Ethaneti)

Nambari. Ujumbe Suluhisho
1 Confirm that the network cable is connected and network devices such as hub, router, or access point are turned on (Thibitisha kwamba kabo ya mtandao imeunganishwa na vifaa vya mtandao kama vile kitovu, kipangishi njia, au eneo la ufikiaji vimewashwa). Kagua zifuatazo:
  • Kebo ya mtandao imeunganishwa kwenye vifaa vya mtandao kama vile printa au kitovu
  • Vifaa vya mtandao, kama vile kitovu, vimewashwa
Kagua kama kebo ya mtandao imeunganishwa na inafanya kazi vizuri.
Unaweza kudhibitisha hali ya shughuli ya vifaa vya mtandao kwa kukagua LED ya hali ya kituo cha mtandao kwenye vifaa vilivyounganishwa kama vile kitovu.

Juu

2. IP Address Check (Ukaguzi wa Anwani ya IP)

Nambari. Ujumbe Suluhisho
2 Incorrect IP address is assigned to the printer (Anwani isio sahihi ya IP imewekwa kwenye printa). Confirm IP address setup of the network device (hub, router, or access point) (Thibitisha usanidi wa anwani ya IP ya kifaa cha mtandao (kitovu, kipangishi njia, au eneo la ufikiaji)). Contact your network administrator for assistance (Wasiliana na msimamizi wako wa mtandao kwa usaidizi). Kagua kama kitendaji cha DHCP cha eneo la ufikiaji kimewashwa. Ikiwa kimezishwa, kibadilishe hadi kimewashwa.
Juu

3. Detailed IP Setup Check (Ukaguzi wa Kindani wa Usanidi wa IP)

Nambari. Ujumbe Suluhisho
3 Confirm IP address, subnet mask, and default gateway setup (Thibitisha anwani ya IP, anwani fiche, na usanidi wa njia msingi).
Connection using the EpsonNet Setup is available (Muunganisho kwa kutumia EpsonNet Setup unapatikana).
Contact your network administrator for assistance (Wasiliana na msimamizi wako wa mtandao kwa usaidizi).
  1. Kagua zifuatazo:
    • Vifaa vingine kwenye mtandao vimewashwa
    • Kebo ya mtandao imeunganishwa vizuri
    • Anwani ya mtandao ya printa iliyowekwa kwa mikono ni sahihi
    • Anwani ya mtandao ya printa ni sawa na ile nyingine ya vifaa vingine
  2. Ikiwa anwani ya mtandao sio sahihi, weka anwani sahihi kwa kutumia paneli ya LCD ya printa.
    Ikiwa huwezi kubadilisha mipangilio kwa kutumia printa chako, wezesha mipangilio kwa kutumia EpsonNet Setup.
    Anwani yako ya sasa ya IP, anwani fiche, na njia msingi huonyeshwa katika C (Network Status (Hali ya Mtandao)).
4 Setup is incomplete (Usanidi haujakamilika). Confirm default gateway setup (Thibitisha usanidi wa njia msingi).
Connection using the EpsonNet Setup is available (Muunganisho kwa kutumia EpsonNet Setup unapatikana).
Contact your network administrator for assistance (Wasiliana na msimamizi wako wa mtandao kwa usaidizi).
  1. Kagua zifuatazo:
    • Anwani msingi ya njia imewekwa kwa mikono ni sahihi
    • Kifaa kilichobainishwa kama njia msingi kimewashwa
    • Kebo ya mtandao imeunganishwa vizuri
  2. Ikiwa anwani msingi ya njia sio sahihi, weka anwani sahihi kwa kutumia paneli ya LCD ya printa.
    Ikiwa huwezi kubadilisha mipangilio kwa kutumia printa chako, wezesha mipangilio kwa kutumia EpsonNet Setup.
    Anwani yako ya sasa ya njia msingi imeonyeshwa katika C (Network Status (Hali ya Mtandao)) chini ya Njia Msingi.
5 Confirm the connection and network setup of the PC or other device (Thibitisha usanidi wa muunganisho na mtandao wa kompyuta au kifaa kingine).
Connection using the EpsonNet Setup is available (Muunganisho kwa kutumia EpsonNet Setup unapatikana).
Contact your network administrator for assistance (Wasiliana na msimamizi wako wa mtandao kwa usaidizi).
  1. Kagua zifuatazo:
    • Vifaa vingine kwenye mtandao vimewashwa
    • Kebo ya mtandao imeunganishwa vizuri
    • Anwani ya mtandao ya printa iliyowekwa kwa mikono ni sahihi
    • Anwani ya mtandao ya printa ni sawa na ile nyingine ya vifaa vingine
  2. Ikiwa umekagua vipengele vyote hapa juu, jaribu zifuatazo:
    • Anzisha EpsonNet Setup kwenye kompyuta ambayo inatumia mtandao sawa kama printa. Ikiwa printa yako imeorodheshwa katika orodha ya printa, weka anwani ya IP ya printa kwenye skrini ya usanidi wa anwani ya IP.
Kagua anwani ya IP ya kichapjshi na ukague kama printa ya mtandao inaweza kufikia vifaa vingine kwenye mtandao. Katika hali nyingine, hitilafu haiwezi kubainishwa. Tunapendekeza kutekeleza usanidi wa mtandao kwa kutumia EpsonNet Setup.

Juu