Sanidi kwa WF-5190 Series

Fuata hatua zilizo hapa chini uweke printa yako kwa mara ya kwanza au wakati unaongeza kompyuta kwenye printa ambayo tayari imewekwa.

1 Tayarisha Printa yako

Angalia mwongozo wa kusanidi karatasi kwa maelezo kuhusu kuweka maunzi ya printa.

2 Pakua na Uunganishe

Ukishapakua programu isiyolipishwa ya kifaa chako, basi unaweza kuanza kuunganisha kwenye printa yako.

Pakua »

3 Vifaa Zaidi?

Unaweza kuongeza kompyuta zaidi na vifaa zaidi mahiri. Nenda kwenye tovuti ifuatayo ya http://epson.sn kutoka kwa kifaa kipya!


Kupakua Kiendeshaji cha Printa cha PCL au PS3(PostScript3)

Tembelea tovuti ifuatayo ya Usaidizi wa Epson na upakue viendeshi.

Shauri hati ya printa yako ili uone kama printa yako inakubali lugha za uchapishaji za PCL au PS3.

Unaweza kupakua miongozo kutoka kwa tovuti kwa maelezo zaidi.

http://www.epson.eu/Support (Ulaya)

http://support.epson.net/ (nje ya Ulaya)