Sanidi kwa DS-535H

Fuata hatua zilizo hapa chini uweke kitambazo chako kwa mara ya kwanza au wakati unaongeza kompyuta kwenye kitambazo ambacho tayari kimewekwa.

1 Tayarisha Kitambazo chako

Angalia Mwongozo wa Usanidi wa karatasi ambao ulikuja pamoja na bidhaa, na uandae bidhaa.

2 Pakua na Uunganishe

Ukishapakua programu isiyolipishwa ya kifaa chako, basi unaweza kuanza kuunganisha kwenye kitambazo chako.

Pakua »

3 Vifaa Zaidi?

Unaweza kuongeza kompyuta zaidi na vifaa zaidi mahiri. Nenda kwenye tovuti ifuatayo ya http://epson.sn kutoka kwa kifaa kipya!