Sanidi kwa WF-2630 Series

Fuata hatua zilizo hapa chini uweke printa yako kwa mara ya kwanza au wakati unaongeza kompyuta kwenye printa ambayo tayari imewekwa.

1 Tayarisha Printa yako

Tayarisha printa yako kwa usanidi wa mara ya kwanza.

Tazama »

2 Pakua na Uunganishe

Ukishapakua programu isiyolipishwa ya kifaa chako, basi unaweza kuanza kuunganisha kwenye printa yako.

Pakua »

3 Vifaa Zaidi?

Unaweza kuongeza kompyuta zaidi na vifaa zaidi mahiri. Nenda kwenye tovuti ifuatayo ya http://epson.sn kutoka kwa kifaa kipya!