1
Chagua

kwenye skrini ya mwanzo ya printa.
2
Teua Wi-Fi Direct.
3
Gusa Anza Kusanidi.
4
Gusa Vifaa Vingine vya OS.
5
Ukiwa kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa mahiri, chagua SSID inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya printa, na kisha uingize nenosiri.
6
Kwenye paneli dhibiti ya printa, chagua Ifuatayo.
7
Fuata maelekezo yaliyo hapa chini ili utumie printa yako kutoka kwenye programu.
Ikiwa kitufe cha kufunga skrini kinaonywshwa upande wa juu kushoto wa skrini, kiguse ufunge skrini. Ikiwa hakuna kitufe, gusa Ifuatayo chini mwa skrini.