Unganisha kifaa mahiri na printa moja kwa moja ukitumia Wi-Fi Direct.

1  Chagua kwenye skrini ya mwanzo ya printa.

2  Teua Wi-Fi Direct.

3  Gusa Anza Kusanidi.

4  Gusa Vifaa Vingine vya OS.

5  Ukiwa kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa mahiri, chagua SSID inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya printa, na kisha uingize nenosiri.

6  Kwenye paneli dhibiti ya printa, chagua Ifuatayo.

Ifuatayo »

Onyesha skrini ya mipangilio ya Wi-Fi ya kifaa mahiri, chagua mtandao unaotaka kuunganisha, na kisha uingize nenosiri.

  • Wakati unatumia iPhone au iPad (kifaa cha iOS)

Chagua [Mipangilio] - [Wi-Fi] ili uonyeshe skrini ya Wi-Fi.
Washa Wi-Fi, na kisha uguse mtandao unaotaka kuunganisha kutoka kwenye orodha ya mtandao. Ingiza nenosiri la mtandao, na kishe uguse [Unganisha].

  • Wakati unatumia kifaa cha Android