1
Chagua

kwenye skrini ya mwanzo ya printa.
2
Teua Wi-Fi Direct.
3
Gusa Anza Kusanidi.
4
Gusa Android.
5
Kwenye kifaa mahiri, washa programu ya kuchapisha ya Epson.
6
Chagua printa kwenye programu. Epson iPrint hutumiwa kama mfano. Kwenye skrini ya Epson iPrint, gusa Printer is not selected..
7
Kwenye skrini ya Epson iPrint, chagua printa unayotaka kuunganisha.
Angalia taarifa inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya printa ili uchague printa.
Ikiwa ujumbe umeonyeshwa kwenye skrini ya Epson iPrint, fuata maelekezo ya kuendesha printa.
8
Kwenye paneli dhibiti ya printa, chagua Imekamilika.