Unganisha kifaa cha Android na printa moja kwa moja ukitumia Wi-Fi Direct.



1  Chagua kwenye skrini ya mwanzo ya printa.

2  Teua Wi-Fi Direct.

3  Gusa Anza Kusanidi.

4  Gusa Android.

5  Kwenye kifaa mahiri, washa Epson iPrint.

6  Kwenye skrini ya Epson iPrint, gusa Printer is not selected..

7  Kwenye skrini ya Epson iPrint, chagua printa unayotaka kuunganisha.

Angalia taarifa inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya printa ili uchague printa.
Ikiwa ujumbe umeonyeshwa kwenye skrini ya Epson iPrint, fuata maelekezo ya kuendesha printa.

8  Kwenye paneli dhibiti ya printa, chagua Imekamilika.

Ifuatayo »

  • Wakati hakuna printa zinaonyeshwa katika Epson iPrint

Hakuna printa zitakazo onyeshwa kulingana na kifaa cha Android. Ikiwa hazijaonyeshwa, unganisha kwa kuchagua [Vifaa Vingine vya OS].

Vifaa Vingine vya OS »