Kuunganisha printa na kifaa maizi moja kwa moja (Wi-Fi Direct)



1  Gusa kwenye skrini ya mwanzo.

2  Gusa Usanidi wa Wi-Fi.

3  Gusa Usanidi wa Wi-Fi Direct.

4  Gusa Usanidi wa Muunganisho.

5  Gusa Endelea.

6  Gusa .

7  Kagua SSID na nenosiri lililoonyeshwa kwenye paneli thibiti ya printa. Chagua SSID iliyoonyeshwa kwenye paneli ya udhibiti ya printa kutoka kwa skrini ya Wi-Fi kwenye kifaa mainzi.

8  Ingiza nenosiri lililoonyeshwa kwenye paneli thibiti ya printa.

9  Baada ya muunganisho kuanzishwa, gusa Imefanyika.

Ifuatayo »

  • Wakati ujumbe umeonyeshwa kama vile "hakuna vifaa zaidi maizi vinavyoweza kuunganishwa" kwenye skrini ya printa

Idadi ya juu ya vifaa ambavyo vinaweza kuunganishwa kwenye printa kwa wakati mmoja vimezidishwa. Tenganisha moja ya vifaa vilivyounganishwa vya Wi-Fi.