Unataka Kuiweka Aje?

 
  • Unganisha kupigia kipangishi njia (Inapendekezwa)

Mbinu hii ya muunganisho inapatikana wakati una eneo la ufikiaji (kipangishi njia pasiwaya) nyumbani au ofisini mwako. Tunapendekeza mbinu hii ya muunganisho kwa kuwa unaweza kutumia huduma ya Epson Connect kwenye intaneti.


 
  • Unganisha Moja kwa Moja (Wi-Fi Direct)

Chagua mbinu hii ya muunganisho ikiwa huna eneo la ufikiaji (kipangishi njia pasiwaya). Unganisha printa na kifaa maizi moja kwa moja. Unaweza kuunganisha hadi vifaa vinne maizi kwenye printa, lakini huduma za intaneti hazipatikani kwa kuwa ni mtandao wa ndani.


 
  • Unganisha kichapishi ambacho kimeunganishwa tayari kwenye mtandao wako

Ikiwa printa yako imeunganishwa tayari kwenye mtandao, unganisha upya kifaa maizi kwenye mtandao huo mmoja kama printa. Kisha printa hupatikana kutoka kwa kifaa maizi.

 
  • Ikiwa kifaa chako maizi kimeunganishwa kwenye eneo maalum la ufikiaji (kipangishi njia pasiwaya)

Ikiwa kuna eneo lingine la ufikiaji (kipangishi njia pasiwaya) la kuunganisha kwenye kompyuta, unganisha kifaa maizi kwenye eneo hilo moja la ufikiaji. Ikiwa kuna maeneo mengine ya ufikiaji (vipangishi njia pasiwaya) kando na eneo hilo la ufikiaji la kuunganisha kifaa maizi, unganisha printa kwenye eneo hilo la ufikiaji.
Chagua "Unganisha kupitia Eneo la Ufikiaji (Inapendekezwa)" wakati printa haijaunganishwa kwenye mtandao. Chagua "Unganisha kwenye printa ambayo imeunganishwa kwenye mtandao" wakati printa imeunganishwa tayari kwenye mtandao.


 
  • Ikiwa unataka kuunganisha kifaa maizi kwenye printa lakini hutaki kukiunganisha kwenye mtandao huo sawa kama printa

Unganisha kifaa maizi kwenye printa moja kwa moja (Wi-Fi Dirrect). Kisha printa hupatikana kwenye mtandao wa Wi-Fi na muunganisho wa moja kwa moja (Wi-Fi Direct).


 
  • Ikiwa unatumia kuunganisha (kushiriki mtandao) kwenye kifaa cha mkononi

Huwezi kuunganisha kwenye printa kutoka kwenye kifaa maizi wakait unatumia ufungaji kwenye kifaa maizi. Lemaza ufungaji, na kisha uunganishe kwenye printa.
Chagua "Unganisha kupitia Eneo la Ufikiaji (Inapendekezwa)" wakati printa haijaunganishwa kwenye mtandao. Chagua "Unganisha kwenye printa ambayo imeunganishwa kwenye mtandao" wakati printa imeunganishwa tayari kwenye mtandao.