Fungu hili linatoa mwongozo wa kuunganisha kifaa chako mahiri ukitumia mbinu ya muunganisho ya Wi-Fi Direct. Ili uone mbinu bora zaidi ya kila kifaa mahiri, chagua aina ya kifaa mahiri unayotaka kuunganisha kwenye printa. “Vifaa Vingine vya OS” vinamaanisha vifaa vinavyokubali Wi-Fi mbali na iPhone, iPad, na vifaa vya Android.